Moto Mkali ulioanzia kwenye jiko la Hoteli ya KCC Maili Moja umeteketeza hoteli hiyo iliyopo Kibaha mchana huu. Askari wa zimamoto bado wanaendelea na zoezi la uzimaji wa moto huo. Katika tukio hilo hakuna mtu aliyejeruhiwa
WAZIRI MCHENGERWA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA DAWA DUNIANI.
-
Na Mwandishi Wetu- Algeria
Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kufanya mazungumzo na
wadau mbalimbali wa uzalishaji wa dawa na teknoloa...
27 minutes ago











No comments:
Post a Comment