Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera,akipata chakula cha mchana na baadhi ya wanafunzi wa darasa la 7 walioanza mtihani leo katika shule ya Msingi Mataka iliyopo Kata ya Mchangani.
Mkuu wa wilaya huyo, alizungumza na wanafunzi hao ili kuwapa moyo na kuwatakia Mtihani mwema ili kufikia malengo yao ikiwa ni pamoja na kufika hadi chuo kikuu.
Mhe. Homera alimalizia kwa kuwatakia kila la kheri wanafunzi wote wa darasa la saba walioanza mitihani yao leo 7/09/2016.


No comments:
Post a Comment