Afisa TEHAMA wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Overblessing Msuya akitoa maelezo kuhusu Mashire ya Kielektroniki ya Usajili wa Mpigakura (BVR) wananchi waliotembelea banda la Tume kwenye maonesho ya Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini Musoma mkoani Mara.

Mkurugenzi
wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani (wa pili
kushoto) akishiriki sala ya kuanza kikao kikao cha pili cha Mkutano Mkuu wa 32
wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) kinachofanyika mjini Musoma
mkoani Mara.Kushoto kwake ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB
Agsotino Mbogella, Katibu Mkuu wa ALAT Habraham Shamumoyo na Makamu Mwenyekiti
wa ALAT Stephen Mhapa.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani, akiwasilisha mada kwenye Mkutano Mkuu wa
32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini Musoma
mkoani Mara. KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE
Kamishna
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe. Mchanga Mjaka akifuatilia mada akiwa na
wageni waalikwa wenzake kwenye Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa
Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini Musoma mkoani Mara.
Mkurugenzi
Mtendaji Manispaa ya Dodoma, Godwin
Kunambi akumuuliza swali Mkurugenzi wa
Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani kwenye Mkutano
Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini
Musoma mkoani Mara.
Mkurugenzi
wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani, akitoa
elimu kwa mwananchi aliyetembelea banda la Tume kwenye maonesho ya Mkutano Mkuu
wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini Musoma
mkoani Mara.
Afisa Habari wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Christina
Njovu akimpa maelekezo mwananchi aliyetembelea banda la Tume akiwa na vitambulisho
viwili vya kupigia kura (cha zamani na
cha sasa) kwenye maonesho ya Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa
Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini Musoma mkoani Mara.
Mtoto
anayesoma darasa la tano shule ya Msingi Kaminyonge aliyefahamika kwa jina moja
la Salvatory (10) akimueleza Mhasibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Hubert
Kiata kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu uchaguzi wakati alipotembelea banda la
Tume kwenye maonesho ya Mkutano Mkuu wa
32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini Musoma
mkoani Mara.Katikati na mwandishi wa redio Victoria ya mjini Musoma.

Mkurugenzi
wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani,
akizungumza na Redio Victoria ya mjini Musoma kuhusu elimu ya mpiga kura.
Afisa
Habari wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Aron Msigwa akimsainisha kitabu cha wageni mkazi
wa Nyakanga Pius Rigamba wakati alipotembelea banda la Tume kwenye maonesho ya
Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika
mjini Musoma mkoani Mara.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri ya Buchosa Crispin Luanda akipokea nyaraka mbalimbali
kutoka kwa Levina Kakuru Mtumishi wa Tume
ya Taifa ya Uchaguzi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Kushoto ni Mtumishi wa
Tume, Moshi Makuka. Picha na Hussein Makame-NEC









No comments:
Post a Comment