
Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na waandishi wa
habari(hawapo pichani) wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya shughuli za
utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi nchini.Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa
kampuni ya Dorsal Bw,P.K Surendran na wa pili kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji Heritage Rukwa Tanzania Limited.
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Dorsal
Bw,P.K Surendran akizungumza kuhusu hatua iliyofikiwa ya shughuli za utafutaji
wa mafuta na Gesi.Kushoto kwa Mkurugenzi uyo ni Waziri wa Nishati na Madini
Profesa Sospeter Muhongo, Mkurugenzi mtendaji
Heritage Rukwa Tanzania Limited Bw Jim Baban(wa tatu kushoto),Meneja
Mkazi wa shirika la Statoil Tanzania фystein Michelsen na Kaimu kamishna wa Nishati
na Maendeleo ya Petrol nchini Bw.James Andilile.
Baadhi ya Wadau wa Gesi na Mafuta wakimskiliza Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani) wakati wa kikao
cha kujadili maendeleo ya shughuli za utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi
nchini.
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Bw.Kapulya
Msomba akieleza maendeleo ya shughuli za utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi
yaliyofikiwa na shirika hilo kwa wadau wa
Mafuta na Gesi jijini Dar es Salaam.Kushoto kwake ni Kaimu kamishna wa Nishati
na Maendeleo ya Petrol nchini Bw.James Andilile na Meneja Mkazi
wa shirika la Statoil Tanzania Bw.
фystein Michelsen.
Kaimu kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli nchini Bw.James Andilile akijadili na wadau wa mafuta na gesi shughuli za utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi nchini.Kushoto kwake Meneja Mkazi wa shirika la Statoil Tanzania ystein Michelsen.




No comments:
Post a Comment