Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho
kutoka kwa Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Sarah Catherine Cooke Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Sarah Catherine Cooke mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Sarah Catherine Cooke mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu


No comments:
Post a Comment