Waziri Mkuu.Kassim
Majaliwa akipokea hundi ya shilingi milioni 5 kutoka kwa Mbunge
wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe Shyrose Bhanji ukiwa ni mchango wa mbunge
uyo kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.Kulia ni Waziri wa
Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles kaijage.
Waziri Mkuu.Kassim
Majaliwa akipokea hundi ya shilingi milioni 37 kutoka kwa group la CEO Roundtable lililowakilishwa na Bi.Santina Benson (wa pili
kushoto) ambapo group hilo wamekabidhi mchango huo kwa waathirika wa tetemeko
la ardhi mkoani Kagera.
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa akipokea msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka
kwa mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Global Publisher Bw.Erc Shigongo ikiwa ni
msaada kwa waathirika wa
tetemeko la ardhi mkoani Kagera.
Waziri Mkuu.Kassim
Majaliwa akipokea hundi ya shilingi milioni 20 kutoka kwa mwakilishi wa shirika
la Trans Ocean Supplies Bi.Melisa Katalaia(wa pili kushoto) ikiwa ni msaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.kutoka kulia ni Waziri
wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles kaijage na wa kwanza kushoto ni
katibu mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu Dkt Hamis Mwinyimvua.
Waziri Mkuu.Kassim
Majaliwa akipokea hundi ya shilingi milioni 404 na laki nane kutoka kwa umoja
wafanyabiashara wa mafuta Tanzania ukiwa ni mchango wa
kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.




No comments:
Post a Comment