Wachezaji wa African Lyon na wa Ndanda Fc, wakichuana kuwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo African Lyon ilishinda bao 1-0.
Matokeo mengine ni :
Maji Maji 1 - Mbao Fc 0
Ruvu 0 - Mtibwa Sugar 0
Daraja la Kwanza:
Kurugenzi Fc 0 - Coastal Union 2
Kiluvya 0 African Sports 0
No comments:
Post a Comment