Vijana wakijaribu kuinua mzigo wa matenga baada ya usafiri wao Guta kubinuka kwa kuelemewa na mzigo kama walivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog pembezoni mwa barabara ya Mandera eneo la Njia panda ya Tabata jijini Dar es Salaam jana.
Limebinuka
Wakishusha mzigo
wakipanga upya mzigo
No comments:
Post a Comment