Wananchi wakishuhudia ajali ya gari ndogo aina ya Noah na Maroli mawili iliyotokea leo jioni eneo la Emaus, Mkoani Dodoma, imeelezwa kuwa katika ajali hiyo Mtu mmoja amepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa. Chanzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika kwa haraka.
Askari Polisi wakiwa eneo la tukio kuokoa majeruhi.



No comments:
Post a Comment