Kuna taarifa inasambazwa katika mitandano mbalimbali ya kijamii leo hii ikidaiwa imetolewa na kitengo cha Mawasiliano,IKULU, kama inavyoeleza hapo juu,si ya ukweli,mnaombwa muipuuze,ni taarifa iliotengenezwa na baadhi ya watu wenye nia ovu ya kupotosha ukweli,hivyo mnaombwa kuipuunza.
VIONGOZI WA DINI: KURA YAKO NI MAAMUZI, KUSUSIA NI KUCHAGUA HEWA
-
Na Mwandishi Wetu
Tofauti na maneno matupu au hisia za mitandaoni, kura ndio kitendo pekee
chenye mamlaka halisi ya kuamua hatima ya Taifa.
Kama Ba...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment