Rais Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi baada ya kukagua akikagua pembe za ndovu 50 zilizokamatwa katika operesheni maalum ya ya kusaka majangili alipofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii (MPINGO HOUSE) jijini Dar es salaam leo Oktoba 29, 2016.
TUJITOKEZE KUPIGA KURA, TUACHE PROPAGANDA ZISIZO NA MAANA
-
Na Emmanuel Mbatilo, Michuzi Tv- 0673956262
TUKIWA katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,
2025, kumekuwa na hali tofauti kutoka...
46 minutes ago
No comments:
Post a Comment