Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake kwa haraka akiwa ameketi juu ya soda za chupa za take away kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog maeneo la Mbagala daraja la Mto Mzinga, akisafirisha kuelekea eneo lake la biashara.
KIKWETE AITAKA WHI KUBORESHA MFUMO WA KIDIJITALI KUVUTIA UWEKEZAJI MPANA
-
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwan Kikwete
ameitaka Watumishi Housing Investment (WHI) kuendeleza mfumo wa kidijitali
wa kis...
2 hours ago



No comments:
Post a Comment