Wachezaji wa Bunge Stars wakijiandaa na mchezo waona timu ya Bunge la Jumuiya ya Africa Mashariki.
****************************************
Mabao mawili ya Kila kipindi yameiwzesha timu ya Bunge Stars kumaliza nafasi bora baada ya kuifunga Bunge la Jumuiya ya Africa Mashariki mabao 4-2. Mabao hayo vyalifungwa na Cosato Chumi goli moja na Yusuf Gogo mabao matatu Kwa upande wa Netball Bunge Queen imemaliza nafasi ya pili baada ya kufungwa na Uganda katika fainali magoli 38-29. Mpaka tunaenda mitamboni Burundi walikuwa uwanjani wakimenyana na Uganda ktk fainali
Kocha mchezaji wa timu ya Bunge Stars Venance Mwamoto na mshambuliaji hatari wa kikosi hicho Cosato Chumi wakiwa na waamuzi wa mchezo wao na timu ya Bunge la Jumuiya ya Africa Mashariki ambao wamewalamba mabao 4-2
Wachezaji nyota wa Bunge Stars wakiwa wamekaa na mashabiki wao
No comments:
Post a Comment