Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Wenyeviti wa Makatibu wa CCM wa mikoa, alipokutana nao katika kikao maalum kilichofanyika leo, katika ukumbi wa Sekretarieti kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Wengine walioko meza kuu, kutoka kushoto ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Mohamed Seif Khatibu, Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo na Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi. Picha na Bashir Nkoromo
RELI ILIYOSIMAMA KWA KIPINDI CHA MIAKA 20 YAFUFULIWA NA KUANZA KUFANYA KAZI
-
Na Oscar Assenga, TANGA.
HATIMAYE Reli iliyokuwa ikitoka Bandari ya Tanga kupitisha shehena za
Mizigo kuelekea mikoa mbalimbali ikiwemo ya Kanda ya...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment