Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC kabla ya kufungua rasmi Kikao hicho jijini Dar
es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe
waliohudhuria kikao hicho cha NEC wakifatilia kwa makini Hotuba iliyokuwa
ikitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi
pamoja na Makamu Mwenyekiti wa (CCM Zanzibar) Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed
Shein, Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM
Tanzania Bara Philip Mangula kabla ya kuanza kikao hicho jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria kikao hicho cha NEC wakifatilia kwa makini Hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana akitoa hotuba yake kabla ya kuanza
kwa kikao hicho cha NEC jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria kikao hicho cha NEC wakifatilia kwa makini Hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment