Aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mbarak Abdulwakil (kushoto) akimtambulisha Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora mbele ya menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais. Utambulisho huo umefanyika leo Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam.
1. Sehemu ya Menejimenti
wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora
mara baada ya kutambulishwa.
No comments:
Post a Comment