Kina mama Ombaomba wakiwa na familia zao pembezoni mwa Barabara ya Bibi Titi jijini Dar es Salaam, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu jana. Pamoja na jitihada za kujaribu kuwaondoa ombaomba katika maeneo ya katikati ya jiji, lakini wamekuwa wakiongezeka kila kukicha na kuongeza usumbufu kwa wapita njia na wakazi wa jijini.
RAIS SAMIA ATOA BIL 19.6 UJENZI WA MIRADI YA ELIMU (SEQUIP) MKOANI NJOMBE
-
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan
imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu
ya S...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment