Wafanyabiashara wa vyakula na mbogamboga nje ya soko la Buguruni Dar es Salaam, wakiwa katika hali isiyo salama kwa kufanya biashara katika mazingira yasiyo rafiki baada ya eneo lao kujaa maji machafu yaliyotuama kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini.
RC Chacha Aitaka TMDA Kudhibiti Biashara Haramu ya Dawa na Vifaa Tiba
-
*Na Julius Anaclet, Tabora.*
*Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mheshimiwa Paul Chacha, ameitaka Mamlaka ya Dawa
na Vifaa Tiba (TMDA) kuendelea kuchukua hatua kali d...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment