MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zubeiry Kabwe, (pichani), amekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam chama chake kimethibitisha.
Akizunggumz na mtandao huu kwa njia ya simu Msemaji wa ACT Wazalendo, Abdallah Khamisi amesema kuwa, Mbunge huyo ambaye pia ni kiongiozi Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo anashikiliwa kwenye kituo cha polisi Chang'ombe.

No comments:
Post a Comment