Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru Mwenyekiti wa Yanga na Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu. Yusuf Manji, baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha mashitaka dhidi yake. HABARI KAMILI ITAWAJIA PUNDE
Nchi za Nordic Zaahidi Kuendelea Kuiunga Mkono Tanzania Katika Elimu
-
Nchi za Nordic zimethibitisha upya dhamira yao ya kuendeleza ushirikiano na
Tanzania katika kuunga mkono sekta ya elimu hususan katika ngazi ya msingi,
...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment