Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kulia)
akipokelewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Morogoro Mhe.
Paschal Kihanga alipowasili katika uwanja wa mpira wa miguu wa Morogoro
kuangalia mechi ya Ligi daraja ya pili kati ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu
ya Mbeya jana Mkoani Morogoro
Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akisalimiana na
mchezaji kutoka timu ya Bukinafaso ya Morogoro kabla ya mechi kati ya timu ya
Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya jana Mkoani Morogoro
Kikosi cha timu ya
Ihefu kutoka Mbeya kabla ya kuanza mechi kati yao na Bukinafaso ya Morogoro.
Mtanange ukipigwa....
Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) akifuatilia
mechi kati ya timu ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya jana Mkoani
Morogoro. Picha
na:
Genofeva Matemu - WHUSM





No comments:
Post a Comment