Mshambuliaji wa Yanga Emmanuel Martin, akiruka kupiga shuti langoni mwa Simba wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Katika mchezo huo tiumu hizo zimetoka sare ya bao 1-1 huku Simba wakiwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Shizya Kichuya na Yanga wakisawazisha kupitia kwa Obrey Chirwa.
KWA MATUKIO YA PICHA ZA MTANANGE HUU KAA NASI HAPO BAADAYE

No comments:
Post a Comment