Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi ya Kika & Milembe, wakibeba viroba vya mchanga kujaza chini ya Daraja la Bondeni baada ya njia panda ya Kawe kuelekea Tegeta, lililobomoka kingo zake kutokana na mvua zilizonyesha majuzi jijini Dar es Salaam, na kutishia kubimoka kwa daraja hilo.
Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi ya Kika & Milembe, wakibeba viroba vya mchanga kujaza chini ya Daraja hilo la Bondeni
Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi ya Kika & Milembe, wakibeba viroba vya mchanga kujaza chini ya Daraja hilo la Bondeni
Kazi ikiendelea....

No comments:
Post a Comment