Nahodha Msaidizi wa Taifa Stars, Himid Mao Mkami, akiwania mpira na Kipa, Ramadhani Kabwili,wakati wa mzoezi yao ya kujiandaa na mchezo wa kirafiki kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu Dar es Salaam,leo.
Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Ami Ninje, akijipanga mipira kwa ajili ya kuanza mazoezi ya timu ya Taifa 'Taifa Stars' kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu.
Wachezaji wa Taifa Stars, kutoka (kushoto) Mohammed Issa, Hamisi Abdallah, Dickson Job na Yohana Mkomola, wakifanya mazoezi ya kupasha misuli kabla ya kuanza kwa programu nyingine za kocha kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu.
No comments:
Post a Comment