Resource Mobilization Executive, kutoka FCS, Karin Rupia, akizungumza kuwakaribisha wadau na washiriki wa Tamasha la Sita la Watu wenye Ulemavu, katika kujitolea kutoa damu katika zoezi linalotarajia kufanyika Novemba 25 katika Kitengo cha MOI na katika Jumanne ya kutoa damu (Giving Tuesday) itakayofanyika Nov 28 kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tano na nusu asubuhi.
Teknologisti wa Chakula Sido Makao Makuu, Halima Kazindolo, akitoa mafunzo kwa washiriki wa Tamasha la Sita la Watu wenye Ulemavu linaloendelea muda huu kwenye Ukumbi wa Jengo la LAPF Makumbusho jijini Dar es Salaam.
Ofisa Uwezeshaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Lucas Mafuru, akifafanua jambo kwawashiriki wa Tamasha la Sita la Watu wenye Ulemavu, linaloendelea muda huu kwenye ukumbi wa Jengo la LAPF Makumbusho jijijini Dar es Salaam.
Msaidizi akimtafsiria kinachozungumzwa ukumbini hapo. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Majadiliano......
Washiriki wakiuliza maswali
Meza Kuu
Sehemu ya waratibu wa Tamasha hilo wakifuatilia kinachiwasilishwa mbele ya washiriki
Picha ya pamoja na baadhi ya washiriki
Picha ya pamoja na Viongozi wa FCS
No comments:
Post a Comment