Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana akizungumza katika
kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika
katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya
Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini
Dodoma. Wa kwanza kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais wa Zanzibar
Dkt. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM
Bara Philip Mangula.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha
Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim
akiwaaga wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CC) mara baada ya
kumaliza muda wake.
No comments:
Post a Comment