Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM
pamoja na wageni mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi
uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre
Mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne
Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kufungua mkutano wa Tisa wa CCM uliofanyika
mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM
Bara Philip Mangula mara baada ya kufungua mkutano wa Tisa wa CCM uliofanyika
mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa
CCM Bara Philip Mangula mara baada ya kupiga kura zao kwa ajili ya uchaguzi wa
viongozi hao.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan wa tatu kutoka (kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa
upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa nne kutoka
(kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete wa kwanza
(kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi wa pili kutoka
(kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa wa pili kutoka kulia
wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kufungua mkutano wa Tisa wa Chama cha
Mapinduzi CCM uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM
pamoja na wageni mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi
uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre
Mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
akizungumza katika mkutano huo wa tisa uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa
CCM Bara Philip Mangula mara baada ya kupiga kura zao kwa ajili ya uchaguzi wa
viongozi hao.
Wanachama wa CCM wakiburidika kwa
kucheza nyimbo mbalimbali katika mkutano huo wa tisa.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia Mke wa Hayati Baba wa taifa,
Mama Maria Nyerere katika mkutano huo wa Tisa wa CCM uliofanyika mjini Dodoma.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment