Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani S. Jafo na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce L. Ndalichako Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 17, 2018. Mhe. Rais amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za serikali za msingi na sekondari na amewaagiza mawaziri hao kusimamia hilo. Taarifa kamili inakuja. Picha na IKULU
VIJANA NA WAJIBU WA KULINDA AMANI KAMA MTAJI WA MAENDELEO YA TAIFA
-
Vijana wana jukumu kubwa la kulinda amani ya nchi, kwani wao ndio nguvu
kazi ya Taifa na viongozi wa kesho. Kwa wingi wao, ubunifu wao na ushawishi
wao ...
11 hours ago




No comments:
Post a Comment