Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Venance Mabeyo akitangaza majina ya Maafisa
mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopandishwa vyeo na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Ikulu jijini Dar
es Salaam. PICHA NA IKULU
MEYA MANISPAA YA KIBAHA AFUNGA VIWANDA VIWILI MISUGUSUGU KWA UCHAFUZI WA
MAZINGIRA
-
Na Khadija Kalili, Kibaha
MSTAHIKI MEYA wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Mawazo Nicas, ametoa amri ya
kufungwa kwa viwanda viwili kwa kosa la kutiririsha maji...
15 minutes ago

No comments:
Post a Comment