Habari za Punde

UMISETA YAZIDI KUNOGA UWANJA WA TAIFA

MSHINDI wa kwanza Veronica Paul  (wa pili kuli) na wa pili Marry Emilly, wote kutoka Wilaya ya Kinondoni, wakichuana kumaliza mbio za Mita 200 leo mchana wakati wa mashindano ya Umiseta yanayoendelea kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Muhidin Sufiani)
 Wanariadha wa kiume wakimalizia mbio za Mita 200.
 Mshambuliaji wa timu ya Wilaya ya Ilala, Neema Deogratius (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Ilala Aisha Abdallah, wakati wa mashindano ya Umiseta katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam, jana. Kulia ni Shakila Seif.
Victor Michael kutoka Wilaya ya Ilala, akijiandaa kurusha Tufe.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.