MKURUGENZI wa Mawasiliano Ikulu, Greyson Msigwa, akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam, wakati wa kufanya usajili wa kupata vitambulisho kwa aajili ya kuripoti Mkutano Mkuu wa SADC unaotarajia kufanyika nchini hivi karibuni. (Picha na Muhidin Sufiani).
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA BANDA LA MAONYESHO LA TTCL VIWANJA VYA BUNGE
DODOMA
-
Na Mwandishi wetu Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb),
ametembelea Banda la Maonesho la Shirika la Mawasiliano...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment