Habari za Punde

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MWERA ZQHOR MOHAMMED HAJI ALIVYOFUNIKA NGOME YA WAPINZANI GALAGALA

Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mkoa wa Mjini, Yussuf  Yussuf, akiwatambulisha wagombea, Zahor Mohammed Haji (kulia) mgombea ubunge, Mihayo Juma Nh'unga, mgombea Uwakilishi (wa tatu kutoka kulia) na wagombea udiwani wa Jimbo la Mwera, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Garagara, Mtoni Kidatu mjini Unguja Zanzibar, jana. (Picha na Muhidin Sufiani)
Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mkoa wa Mjini, Yussuf  Yussuf, akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mwera wakati wa mkutano wa kampeni wa wagombea, Zahor Mohammed Haji, mgombea ubunge, Mihayo Juma Nh'unga, mgombea Uwakilishi na wagombea udiwani wa Jimbo la Mwera, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Garagara, Mtoni Kidatu mjini Unguja Zanzibar
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, A Brown, akitoa burudani wakati wa  Mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Garagara, Mtoni Kidatu mjini Unguja Zanzibar, 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Chaby Six, akitoa burudani wakati wa  Mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Garagara, Mtoni Kidatu mjini Unguja Zanzibar, 
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mwera, Zahor Mohammed Haji akimwaga sera zake wakati wa mkutano wa Kampeni ulifanyika katika Uwanja wa galagala mjini Unguja Zabzibar.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la mwera, Zahor Mohammed Haji,  akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mwera wakati wa mkutano wa kampeni wa wagombea, Zahor Mohammed Haji, mgombea ubunge, Mihayo Juma Nh'unga, mgombea Uwakilishi na wagombea udiwani wa Jimbo la Mwera, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Garagara, Mtoni Kidatu mjini Unguja Zanzibar

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.