Habari za Punde

MKUTANO WA KAMPENI VIWANJA VYA MAISALA ZANZIBAR

 Mwenyekiti wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiteta jambo na Makamu wake wakati wa mkutano wa Kampeni uliofanyika Viwanja vya Maisala Mnazi Mmoja mjini Unguja Zanzibar jana. (Picha zote na Muhidin Sufiani)
Mombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibara Dkt. Hussein Ali Mwinyi, wakati walipokutana katika mkutano wa Kampeni uliofanyika katika viwanja vya Maisala mjini Unguja, Zanzibar.
Dua
Sehemu ya wanachama wa CCM wakishangilia
Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Gharib Bilal (katikati) Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM  Mkoa wa Mjini, Talib Ali Talib, wakifurahia jambo wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika katika Viwanja vya Maisala Mnazi Mmoja mjini Unguja, Zanzibar.
Mgombbea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dkt. Husein Ali Hassan Mwinyi, akizungungumza wakati wa mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Maisala Mnazi Mmoja mjini Unguja, Zanzibar

Mzee Mwinyi akifurahia jambo baada ya Mheshimiwa Rais Dkt Magufuli kuamuru kuletwa jukwaani binti (kushoto) aliyekuwa ametolewa nje na askari alipojaribu kufikisha ujumbe wake wakati Mheshimiwa Rais akitoa Hotuba yake jukwanii, Binti huyo aliamua kujitoa muanga kufikisha ujumbe wake akieleza familia yake akunyanyaswa na baadhi ya watu wakitaka kubomolewa nyumba yao.
Mgombbea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufulii, akizungungumza wakati wa mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Maisala Mnazi Mmoja mjini Unguja, Zanzibar
Baadhi ya wagombea wa nafasi ya Ubunge na Uwakilishi wa Zanzibar wakiwa katika mkutano huo wa Kampeni katika Viwanja vya Maisala Mnazi Mmoja Zanzibar jana baada ya kumalizika kwa mkutano huo.
Mgombea nafasi ya uwakilishi Jimbo la Mwera Mihayo Juma Nh'unga akiwa katika picha ya pamoja na Bi Asha baada ya kumalizika mkutano huo.
Wanachama wa CCM wakiwa katika usafiri wa Pikipiki kuelekea katika Viwanja vya Maisala Mnazi Mmoja Zanzibar kuhudhuria mkutano wa Kampeni

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Harmonize, akitoa burudani katika mkutano huo wa kampezi za CCM katika Viwanja vya Maisalama Mnazi Mmoja mjini Unguja, Zanzibar
  Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Kiba, akitoa burudani katika mkutano huo wa kampezi za CCM katika Viwanja vya Maisalama Mnazi Mmoja mjini Unguja, Zanzibar
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond, akitoa burudani katika mkutano huo wa kampezi za CCM katika Viwanja vya Maisalama Mnazi Mmoja mjini Unguja, Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.