Mchezaji wa timu ya NMB Rajab Abdallah (kushoto) akijaribu kuwatoka mabeki wa Meticulous Nuhu Jabu (katikati) na Nuhu Ivoivo (wa pili kuia) wakati wa mchezo Bonanza la Bima Cup 2023, lililofanyika kwenye viwanja vya Masaki Sports Park Dar es Salaam, jana. Katika mchezo huo Meticulous ilishinda mabao 2/1. Kulia ni mshambuliaji wa NMB Nuhu Mkuchu akisubiri kutoa msaada.
Beki wa Nmb Julius Dante (kulia) akitako kuondoa mpira wa hatari mbele ya mchezaji wa Meticulous, wakati wa mchezo wa Bonanza la Bima Cup 2023 lililofanyika jana kwenye Viwanja vya Masaki Sports Park Dar es Salaam,
Mchezaji wa timu ya NMB Laurance Kilumanga akiwania mpira na Nuhu Jabu wa timu ya Meticulous wakati wa mchezo Bonanza la Bima Cup 2023, lililofanyika kwenye viwanja vya Masaki Sports Park Dar es Salaam, jana. Katika mchezo huo Meticulous ilishinda mabao 2/1.
Mchezaji wa timu ya NMB Anuary Jamal, akimtoka beki wa TIBA Fc, Festo Prosper, wakati wa mchezo Bonanza la Bima Cup 2023, lililofanyika kwenye viwanja vya Masaki Sports Park Dar es Salaam, jana. Katika mchezo huo NMB ilishinda mabao 3/0.
Mshambuliaji wa timu ya NMB Nuhu Mkuchu (kulia) akitoa pasi katikati ya mabeki wa Oryx, wakati wa mchezo Bonanza la Bima Cup 2023, lililofanyika kwenye viwanja vya Masaki Sports Park Dar es Salaam, jana. Katika mchezo huo Oryx ilishinda mabao 3/2.
Kipute kikiendelea
Maelekezo kabla ya mchezo kuanza
Mashirikiano PURA, ALNAFT kuimarisha ufanisi wa utendaji
-
Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Nchini (PURA) imekutana na
kufanya mazungumzo na Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli ya
Nchini Algeri...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment