Habari za Punde

BILIONI 12 KUTUMIKA KUKIJANISHA JIJI LA DODOMA.

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akizungumza katika kikao cha pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo pamoja na Viongizi waandamizi wa Wizara hizo (hawapo pichani) kujadili mradi wa kukijanisha jiji la Dodoma, Juni 11,2024.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akizungumza katika kikao cha pamoja na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa pamoja na Viongizi waandamizi wa Wizara hizo (hawapo pichani) kujadili mradi wa kukijanisha jiji la Dodoma, Juni 11,2024.
 Afisa Mazingira Mwandamizi kutoka TANROADS, Julius Luhuro, akitoa taarifa ya mradi wa kukijanisha jiji la Dodoma kwa Waziri wa Ujenzi, na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo pamoja na Viongizi waandamizi wa Wizara hizo (hawapo pichani) walipokuwa wakijadili mradi huo jijini Dodoma, Juni 11,2024.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.