Mlezi wa Chama cha Wapigapicha za Habari Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, akijaribu kupiga picha Ikulu Dar es Salaam jana kwa kutumia kamera ya mpiga picha wa Jambo Leo, Richard Mwaikenda (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa sherehe za kuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Malawi na makatibu tawala mkoa wanne.
MULIRO AKABIDHI ASKARI WA KIKE BENDERA KWA NIABA YA IGP KWENDA SCOTLAND.
-
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro amewakabidhi bendera ya Taifa
askari wa kike k...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment