Menu

Friday, March 12, 2010

*JK AKIPA BIG UP CHAMA CHA WAPIGA PICHA ZA HABARI

"Hata mie naweza kupiga picha jamani, hamjui kama mie ndo mlezi wa Chama cha wenye kamera"?
Mlezi wa Chama cha Wapigapicha za Habari Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, akijaribu kupiga picha Ikulu Dar es Salaam jana kwa kutumia kamera ya mpiga picha wa Jambo Leo, Richard Mwaikenda (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa sherehe za kuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Malawi na makatibu tawala mkoa wanne.

No comments:

Post a Comment