Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Balozi wa Rwanda nchini, Fatuma Ndangiza (katikati) na Mshauri Balozi (1st. Counsellor) Shakilla Umutoni, kabla ya kuanza kwa mazungumzo yao, yaliyofanyika ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam leo mchana. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment