Habari za Punde

*JK AKUTANA NA WZEE WA DAR ES SALAAM LEO

Baadhi ya wazee waliojitokeza katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuzungumza na Rais Jakaya Kikwete, wakiwa katika ukumbi huo wakisubiri kuanza kwa hotuba ya Rais aliyewahutubia leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.