Habari za Punde

*ALICE LUSHIKU AVISHWA TAJI LA DAR INDIAN OCEAN 2010

Miss Dar Indian Ocean 2010, Alice Lushiku (katikati) akiwa na washindi wenzake, mshindi wa pili, Nuria Ahmed (kulia) na watatu, Edna Kwirasa, baada ya kutangazwa washindi katika shindano lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam.


Mwandaaji wa Miss Temeke, Ben Kisaka, akitanga washindi tisa bora waliofanikiwa kuingia katika nafasi tisa bora badala ya kumi bora wakati wa shindano hilo.

Wadau wa urembo, Albert makoye, Jokate Mwegelo na wengine wakifuatilia kwa makini shindano hilo.....

Hawa ndiyo warembo Tisa bora wa shindano hilo.

Majaji wa shindano hilo wakifuatilia kwa makini kabla ya kumtangaza Alice kuwa Miss Dar Indian Ocean 2010.

Mshiriki akipita jukwaani na vazi la Ubunifu.

Mshiriki akipita jukwaani na vazi la usiku..

Mshiriki akipita jukwaani na vazi la Ufukweni...

Warembo hao wakicheza shoo ya ufunguzi wa shindano hilo kabla ya kuanza kinyang'anyiro hicho.









No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.