Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Simu za mkononi Tigo, Jackson Mmbando (kulia) na Ofisa Viwango, David Zacharia, wakionyesha zawadi za Promosheni ya Jikoki na Tigo, ambazo zilikabidhiwa kwa washindi leo mchana.
Ofisa Viwango wa Kampuni ya Tigo, David Zacharia (kushoto) na Ofisa Uhusiano, Jackson Mmbando (kulia) wakimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni 2, Simu aina ya Brack Berry na Laptop, Titto Michael mkazi wa Sinza, baada ya kuibuka mshindi wa Promosheni ya ‘Jikoki na Tigo’. Hafla hiyo ya kukabidhi zawadi za washindi ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment