Habari za Punde

*MTAZAMO WA BAJETI BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kulia) akifurahia jambo na Mbunge wa Donge, Ali Ameir Mohamed (katikati) na Mbunge wa Kuteuliwa, Hadija Saleh Ngozi, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange (katikati) na Inspekta Jenerali wa Polisi, Said Mwema Bungeni mjini Dodoma jana baada ya Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo Kusoma Bajeti ya Serikali ya 2010/2011.

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Kingunge Ngombale – Mwiru (katikati) na Mbunge wa Zamani wa Ruangwa, Philip Magani kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma jana baada ya Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo kusoma Bajeti ya Serikali ya 2010/2011 .


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.