Eti huyu ni Rais wa Sudan, Nimery, akikagua timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wakati walipocheza na Sudan Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam miaka hiyo. Eti Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye aliongozana na Rais huyu toka siku hiyo hakuwahi hakukanyaga tena kwenye Uwanja huo kuwaona Taifa Stars eti haikumuingia akilini kwa nini timu ya Taifa ikose Jezi siku kama hii. Je yanaweza kujitokeza tena kama haya au bado yanatokea? me nazani bado yanatokea si kukosa jezi pekee ila hata maandalizi ya mambo muhimu katika baadhi ya michezo ya kimataifa umekuwa ukitokea uzembe tu wa hapa na pale kiasi cha kuwaudhi waandishi wa habari ambao ndiyo hasa wanaotakiwa kuandaliwa kila kitu kinachowaf\husu siku hiyo ikiwa ni pamoja na siti zao kutouzwa kwa mashabiki wa soka.
MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI MIKOA YA MTWARA, LINDI NA RUVUMA YAFUNGULIWA
LEO
-
Mwenyekiti wa tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufani, Mhe. Jacobs
Mwambegele akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji w...
12 minutes ago
No comments:
Post a Comment