Mshauri wa Chama cha Wakulima wadogo MVIWATA Mkoa wa Morogoro, Marcelina Kibena, (katika) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati umoja wa Chama hicho ulipokuwa ukipongeza Bajeti ya Serikali ya mapato na matumizi kwa mwaka 2010-2011, ambayo imeonyesha kuwapa kipaumbele wakulima. Kushoto ni Mwenyekiti wa 'The Eastern and Southern Africa Small Scale Farmers Forum, Elias Kawea (wapili kushoto) ni Katibu wa MVIWATA Mkoa wa Dodom, Mathias Mtwale (kulia) ni Mjumbe wa Kamati ya Uongozi MVIWATA Mkoa wa Manyara, Apollo Chamwela.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 18, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 18,
2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma Magazetini...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment