Habari za Punde

*EXTRA BONGO WAMEKUJA KUWASHIKA

Eti Extra Bongo wamekuja kivingine, hii ilikuwa ni staili yao ya 'Mjini Mipango' wakati wanenguaji hao wakishambulia jukwaa kwenye Ukumbi wa Mango Garden Kinondoni juzi usiku.

Wanenguaji wa bendi ya Exra Bongo wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho lao kwenye Ukumbi wa mango Garden.

Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo, Ally Choki, (kulia) akitunzwa fedha na mashabiki wake wakati akiimba jukwaani wakati wa onyesho la bendi yake lililofanyika jana usiku kwenye Ukumbi wa Mango Garden Kinondoni.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.