Habari za Punde

*KUTOKA BUNGENI LEO, CHEYO AVULIWA UWAZIRI KIVURI WA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI

Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo, akiwa kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma siku moja kabla ya kutangazwa naKiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Hamad Rashid Mohamed, kuondolewa katika nafasi ya Waziri Kivuli wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi bungeni. Tangazo hilo limetolewa na Kiongozi huyo wa Kambi ya Upinzani Hamad Rashi, katika kikao cha Bunge mjni Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Nzega, Lucas Selelii, wakati wakiingia kwenye Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo mchana. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.