Habari za Punde

*KUTOKA BUNGENI LEO

Mbunge wa Mji Mkongwe, Ibrahim Muhammad Sanya (kulia) akiteta jambo na Mbunge wa Viti Maalum Zuleikha Yunus Haji, katika Semina kwa Wabunge kuhusu Umuhimu wa Utambuzi na USajili wa Watu iliyofanyika kwenye ukumbi wa MSekwa Mjini Dodoma leo mchana. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Mbunge wa Pangani Rishad Abdalah (kulia) akizungumza na mbunge wa Ilala, Musa Azan Zungu ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati wa Mkutano wa Ishirini wa Kikao cha Bunge kinachoendelea mjini Dodoma.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.