Mshikaji aiwa na familia yake katika usafiri wa pikipiki bila kujali usalama wake na watoto hao, huko nchini Uganda, ebwana eeh! hii inatisha sijui kama hapa nyumbani unaweza kupakia abiria kama hivyo na kupita katika barabara za maeneo ya katikati ya mji kama hivi, Hao tigo kweli watakuacha?
Hii Nimeipenda usafiri wa utulivu kuliko maelezo, Mama katulia saaaafi na story zinaendelea kama kawaida na safari inakwenda....
Eti hawa ni mafande wa kike wakiwa katika Rieso ya kulenga shabaha, hapa walikuwa wakiwasubiri wenzao wamalize nao waanze zoezi hilo. Lakini hebi cheki mwenyewe huyu wa kati si anawanyonya damu wenzake kweli na hivi Afande kama huyu anaweza kweli kukabiliana na kashi kashi za hapa na pale wakati wa maafa??? au kumkimbiza kibaka anayetoka nduki kama pikipiki????
No comments:
Post a Comment