Mchezaji wa timu ya England Wayne Rooney (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa USA, Jay Demerit, wakati wa mchezo wa timu hizo za kundi B, uliochezwa kwenye Uwanja wa Royal Bufokeng. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1, huku goli la England likifungwa na Steven Gerald katika dakika ya 4 na goli la USA likifungwa na Dempsey katika dakika ya 39 na kufanya timu hizo kwenda mapumziko zikiwa sare matokeo yaliyodumu hadi mwisho wa mchezo huo.
Kipa wa England, Green, akijishanga baada ya kufungwa goli la uzembe baada ya mpira kumtoka mkononi na kutinga wavuni.
Kipa wa England, Green, akijishanga baada ya kufungwa goli la uzembe baada ya mpira kumtoka mkononi na kutinga wavuni.
Jamie Carragher wa England (kushoto) akichuana kuwani mpira na Robbie Findley wa USA wakati wa mchezo huo.
No comments:
Post a Comment