Habari za Punde

*WANAWAKE WATAKIWA KUJITOKEZA KUCHIMBA MADINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Tanzania, David Jairo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, baada ya semina ya siku mbili iliyoandaliwa na Wizara ya hiyo kwa kushirikiana na Benki Kuu, yenye lengo la kuhimiza Wanawake kujitokeza kufanya kazi kwenye sekta ya uchimbaji wa madini Duniani kote.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.